Wednesday, December 12, 2012

SHIRIKA LILIVYOSHIRIKI KIKAMILIFU SIKU YA WATOTO DUNIANI (CEF PARTICIPATE ON WORLD CHILDREN'S DAY)


Watoto wakisherekea siku ya watoto Duniani katika kijiji cha Mvugwe wilayani Kasulu mkoani Kigoma mwaka 2011.
Children celebrate the World Day of children in the village of Kigoma Region Mvugwe Kasulu district in 2011.
Watoto wakisherekea siku ya watoto Duniani katika kijiji cha Kagerankanda wilayani Kasulu mkoani kigoma mwaka 2012.
Children celebrate the World Day of children in the village of Kagerankanda Kasulu district in Kigoma in 2012.


FAMILIA ZILIZOTEMBELEWA NA MRATIBU WA AFYA NA MAZINGIRA YA MAMA NA MTOTO (Visited FAMILY AND COORDINATOR FOR HEALTH AND ENVIRONMENT OF MOTHER AND CHILD)


Hizi ndizo familia alizo zitembelea siku hiyo.
These are the family does visit that day.

VIONGOZI WA SHIRIKA LA CHILDREN ON THE EARTH FOUNDATION (LEADERS OF THE ORGANISATION'S CHILDREN ON THE EARTH FOUNDATION)

Israel Manyurane, Mwenyekiti wa Shirika la Children On the Earth Foundation (CEF)
Israel Manyurane, Chairman of the Agency for Children On the Earth Foundation (CEF)
Regina Matalu, Katibu wa Shirika la Children On the Earth Foundation (CEF)
Regina Matalu, Secretary of the Agency for Children On the Earth Foundation (CEF)
Matrida Michael, Mweka Hazina wa Children On the Earth Foundation (CEF)
Matrida Michael, Treasurer of Children On the Earth Foundation (CEF)
 Sophia Elias, Mratibu wa afya na mazingira ya mama na mtoto wa Children On the Earth Foundation (CEF)
Sophia Elias, coordinator of the health and environment of the mother and child Children On the Earth Foundation (CEF)

MWENYEKITI (CHAIRMAN)

MWENYEKITI WA CEF MR. MANYURANE.
CHAIRMAN OF THE CEF MR. MANYURANE.