Tuesday, September 16, 2014

WATOTO WALIFANYIWA UKATILI WILAYANI KASULU MWAKA 2014





Mmoja Alifanyiwa Kitendo cha Ukatili Katika Kijij cha Nyamidaho na Mwingine Katika Kijiji cha Nyamuyusi.

MAAZIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 2014 MAKERE -KASULU



Viongozi wa Shirika la CEF walitoa Msaada wa Daftari na Kalamu kwa Wanafunzi wa Shule ya msingi Muungano.

SEMINA YA VIONGOZI WA SERIKALI JUU YA HAKI ZA WATOTO WILAYANI KASULU



                           



Afisa wa Ustawi wa Jamii wa Wilaya ya Kasulu ndgu,Simon Kazo Akitoa Mwongozo juu ya Haki za Watoto kwa kushirikiana na CEF,World Vision, FGGS na Wadau mbalimbali.

WATOTO WALIOKAMATWA WAKICHUNGA NG'OMBENA KAZI ZA NDANI


Watoto hao walikamatwa Eneo la Hifadi Wilayani Uvinza Wakichunga ng'ombe kwa Ujila mdogo
Miongoni mwa Watoto hao walikuwa wanasafirishwa (Biashara ya binadamu)
Shirika la Haki za Watoto Kwa Kushirikiana na Ofisi ya Ustawi wa Jamii na Maafisa wa Police wa Wilaya ya Kasulu Kigoma,Wamefanikisha kuwarudisha kwao Ndani ya Nchi na Nje ya Nchi.
Kesi za Watuhumiwa Ziko Mahakamani.