Monday, February 11, 2013

MWENYEKITI WA CEF AKITOA MSAADA WA CHAKULA KWA AKINA MAMA



Bibi hawa ni ombaomba wa mtaani.Miongoni mwao hawana ndugu kabisa na wanabaki wakiomba misaada kwa watu mbalimbali na wasamalia wema,Ukibahatika kuyaona mazingira yao wanayoishi kweli yanakufanya uwaonee huruma.
       USHAURI KWA SERIKALI;-'Ninaiomba serikali ya tanzania ifanye kila liwezekanalo ili kuondokana na tatizo hili la OMBAOMBA, KUMBUKA UZEE NI DHAHABU.

MWENYEKITI WA CEF AKIWAPA WATOTO MSAADA WA CHAKULA





Kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo watoto hawa yaliwasababisha kukimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta unafuu wa maisha yao.Licha ya kukimbilia mjini bado wamejikuta hawana uhakika wa kupata chakula na sehemu  ya kulala na baadala yake  wanalala nje hasa katika mitalo  ipitishayo maji .
     Mwenyekiti wa CEF aliwapatia msaada wachukula watoto hao kama unavyoona kwenye picha hizo hapo juu.
             USHAURI WA MWENYEKITI WA CEF KWA SERIKALI;-"Ninaishauli serikali ya Tanzania hasa WIZARA husika kulipatia nguvu na ushirikiano wa kutosha shirika la CEF ili kuwasaidia watoto hawa kuondokana na tatizo hili la ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI".

WATOTO WAKIWA NA MWENYEKITI WA CEF



Watoto hawa waliacha masomo wakakimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta liziki baada ya maisha ya familia zao kuwa dunu sana /magumu .
Watoto hawa wanaishi hapa mjini kwa kuokota vitu jalalani/kwenye takataka kama vile makopo/chupa tupu za maji/kitu chochote kile wanachoweza kuuza na kujipatia pesa kwa ajiuli ya kununua chakula chao.
Wakiwa kazini utakutana nao wakiwa wamebebelea mifuko ndani yake kukiwa na chupa tupu kama wanavyoonekana kwenye picha hizo hapo juu na chupa moja utakuta wakiuuza shiling 20 za Kitanzania.

Tuesday, February 5, 2013

WAJUMBE WAKIWA KWENYE KIKAO CHA KUJADILI JINSI YA KUPATA WAFADHILI WA SHIRIKA (Whilst in Session MEMBERS DISCUSS HOW THE ORGANISATION funding)

Wajumbe wakiwa ndani ya mkutano.
Delegates inside the conference.
Wajumbe wakiwa nje kwa picha ya pamoja baada ya mkutano kumalizika.
Members being out for the picture with after the meeting ended.

WAJUMBE WA CEF BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA USAJILI WA SHIRIKA (MEMBERS OF CEF AFTER RECEIVING NOTICE OF REGISTRATION OF ORGANISATION)

Wajumbe wa Shirika la CEF wakifurahia siku ya kupata usajili wa shirika lao la CEF wakiwa na bango la shirika hilo.
Members of the Organization of CEF were enjoyed on the registration of their organization's CEF with the banner of the organization.