Monday, February 11, 2013

MWENYEKITI WA CEF AKIWAPA WATOTO MSAADA WA CHAKULA





Kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo watoto hawa yaliwasababisha kukimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta unafuu wa maisha yao.Licha ya kukimbilia mjini bado wamejikuta hawana uhakika wa kupata chakula na sehemu  ya kulala na baadala yake  wanalala nje hasa katika mitalo  ipitishayo maji .
     Mwenyekiti wa CEF aliwapatia msaada wachukula watoto hao kama unavyoona kwenye picha hizo hapo juu.
             USHAURI WA MWENYEKITI WA CEF KWA SERIKALI;-"Ninaishauli serikali ya Tanzania hasa WIZARA husika kulipatia nguvu na ushirikiano wa kutosha shirika la CEF ili kuwasaidia watoto hawa kuondokana na tatizo hili la ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI".

No comments:

Post a Comment