Watoto hawa waliacha masomo wakakimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta liziki baada ya maisha ya familia zao kuwa dunu sana /magumu .
Watoto hawa wanaishi hapa mjini kwa kuokota vitu jalalani/kwenye takataka kama vile makopo/chupa tupu za maji/kitu chochote kile wanachoweza kuuza na kujipatia pesa kwa ajiuli ya kununua chakula chao.
Wakiwa kazini utakutana nao wakiwa wamebebelea mifuko ndani yake kukiwa na chupa tupu kama wanavyoonekana kwenye picha hizo hapo juu na chupa moja utakuta wakiuuza shiling 20 za Kitanzania.
No comments:
Post a Comment