Tuesday, September 16, 2014
WATOTO WALIFANYIWA UKATILI WILAYANI KASULU MWAKA 2014
MAAZIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 2014 MAKERE -KASULU
Viongozi wa Shirika la CEF walitoa Msaada wa Daftari na Kalamu kwa Wanafunzi wa Shule ya msingi Muungano.
SEMINA YA VIONGOZI WA SERIKALI JUU YA HAKI ZA WATOTO WILAYANI KASULU
WATOTO WALIOKAMATWA WAKICHUNGA NG'OMBENA KAZI ZA NDANI
Miongoni mwa Watoto hao walikuwa wanasafirishwa (Biashara ya binadamu)
Shirika la Haki za Watoto Kwa Kushirikiana na Ofisi ya Ustawi wa Jamii na Maafisa wa Police wa Wilaya ya Kasulu Kigoma,Wamefanikisha kuwarudisha kwao Ndani ya Nchi na Nje ya Nchi.
Kesi za Watuhumiwa Ziko Mahakamani.
Tuesday, February 18, 2014
Saturday, June 8, 2013
MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE BORA - NUTRITION DAY CELEBRATIONS
Kongamano la watoto,siku ya lishe bora Tanzania. (Forum children, nutrition day Tanzania.) |
Bunge la Watoto. (Lishe Bora) The Children's Parliament. (Nutrition) |
Tuesday, June 4, 2013
HAKI ZA WATOTO - CHILD RIGHTS
MSAADA KWA WATOTO WA MITAANI - Support for street children
SEMINA YA VIONGOZI - LEADERS SEMINAR
Semina ya Viongozi wa CEF, Mgeni Rasmi alikuwa Afisa Tarafa Makere Mr. Wambura April 2013. (CEF workshop leaders, Guest of Honour was Mr Wambura Divisional Officer of Makere April 2013.) |
Viongozi wa Shirika baada ya Semina. (Organization leaders after the seminar) |
Afisa Tarafa Bw. Wambura akiendesha Semina ya Viongozi. (Divisional Officer Mr. Wambura riding Leaders Seminar.) |
Baadhi ya Viongozi wakiwa na watoto mbele ya Ofisi ya CEF. (Some leaders with children in front of the Office of the CEF.) |
Mwenyekiti wa CEF akiwa Ofisini na baadhi ya Wageni waliomtembelea. (Chairman of CEF as Office and some guests who visit.) |
MSAADA KWA WALEMAVU WA VIUNGO - SUPPORT FOR DISABLED THE LINKS
Monday, February 11, 2013
MWENYEKITI WA CEF AKITOA MSAADA WA CHAKULA KWA AKINA MAMA
Bibi hawa ni ombaomba wa mtaani.Miongoni mwao hawana ndugu kabisa na wanabaki wakiomba misaada kwa watu mbalimbali na wasamalia wema,Ukibahatika kuyaona mazingira yao wanayoishi kweli yanakufanya uwaonee huruma.
USHAURI KWA SERIKALI;-'Ninaiomba serikali ya tanzania ifanye kila liwezekanalo ili kuondokana na tatizo hili la OMBAOMBA, KUMBUKA UZEE NI DHAHABU.
MWENYEKITI WA CEF AKIWAPA WATOTO MSAADA WA CHAKULA
Kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo watoto hawa yaliwasababisha kukimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta unafuu wa maisha yao.Licha ya kukimbilia mjini bado wamejikuta hawana uhakika wa kupata chakula na sehemu ya kulala na baadala yake wanalala nje hasa katika mitalo ipitishayo maji .
Mwenyekiti wa CEF aliwapatia msaada wachukula watoto hao kama unavyoona kwenye picha hizo hapo juu.
USHAURI WA MWENYEKITI WA CEF KWA SERIKALI;-"Ninaishauli serikali ya Tanzania hasa WIZARA husika kulipatia nguvu na ushirikiano wa kutosha shirika la CEF ili kuwasaidia watoto hawa kuondokana na tatizo hili la ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI".
WATOTO WAKIWA NA MWENYEKITI WA CEF
Watoto hawa waliacha masomo wakakimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta liziki baada ya maisha ya familia zao kuwa dunu sana /magumu .
Watoto hawa wanaishi hapa mjini kwa kuokota vitu jalalani/kwenye takataka kama vile makopo/chupa tupu za maji/kitu chochote kile wanachoweza kuuza na kujipatia pesa kwa ajiuli ya kununua chakula chao.
Wakiwa kazini utakutana nao wakiwa wamebebelea mifuko ndani yake kukiwa na chupa tupu kama wanavyoonekana kwenye picha hizo hapo juu na chupa moja utakuta wakiuuza shiling 20 za Kitanzania.
Tuesday, February 5, 2013
WAJUMBE WAKIWA KWENYE KIKAO CHA KUJADILI JINSI YA KUPATA WAFADHILI WA SHIRIKA (Whilst in Session MEMBERS DISCUSS HOW THE ORGANISATION funding)
Wajumbe wakiwa ndani ya mkutano.
Delegates inside the conference.
Wajumbe wakiwa nje kwa picha ya pamoja baada ya mkutano kumalizika.
Members being out for the picture with after the meeting ended.
WAJUMBE WA CEF BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA USAJILI WA SHIRIKA (MEMBERS OF CEF AFTER RECEIVING NOTICE OF REGISTRATION OF ORGANISATION)
Wajumbe wa Shirika la CEF wakifurahia siku ya kupata usajili wa shirika lao la CEF wakiwa na bango la shirika hilo.
Members of the Organization of CEF were enjoyed on the registration of their organization's CEF with the banner of the organization.
Tuesday, January 22, 2013
MALEZI BORA NDANI YA FAMILIA (GUARDIAN BEST IN THE FAMILY)
Mratibu wa shirika aliitembelea familia hii na kukutana na bibi huyu akiwa na wajukuu zake dhumuni likiwa ni kuzungumzia malezi ndani ya familia.
Coordinator of this family visited and met this lady with her grandchildren purpose being to discuss the formation within the family.
Coordinator of this family visited and met this lady with her grandchildren purpose being to discuss the formation within the family.
Subscribe to:
Posts (Atom)