Mtoto huyu miaka kumi (10)anaishi na baba yake baada ya mama yake kufariki wilayani Kasulu, Lakini baba amekuwa hamjali mtoto huyu na kumfanya awe mtoto anayeishi kwa kuomba omba mitaani, Pichani yupo na Katibu wa Shirika la CEF.
This child aged 10 years old lives with her father after her mother died Kasulu district, but the father has the child that you care about and make him a child who lives in the streets begging, Pictured is the Secretary of the Organization of CEF.
Mtoto huyu James Juma akifanya biashara mtaani jambo lililosababisha kuto kuendelea na masoma akiwa darasa la nne baada ya kumpoteza mzazi wa kiume aliyekuwa tegemeo lake, biashara hiyo aliyokuwa akiifanya ilikuwa ni kazi ya kuajiliwa na malipo yakiwa na Tshs 4000/= elfu nne tu kwa mwezi.
This boy James Juma doing business on the street which led to inactivity continue reading at fourth grade after losing a parent of a male who makes his, a business that he had been made it was the work of employed and payment having Tshs 4000 / = four thousand only per month

Mtoto huyu Alex Hamis wa kijiji cha kitanga akiwa anafanya biashara ya kuuza vitumbua baada ya kumpoteza baba yake, Mama wa mtoto huyu ni mlemavu wa viungo jambo ambalo alishindwa kumuendeleza mtoto wake na masomo, mtoto huyu aliacha shule akiwa darasa la tatu mwana 2012.
This boy Alex Hamis the village of palm as he did the business of selling display after her father, the mother of this child have a disability of joints which failed kumuendeleza her studies, this child had left school at grade three son in 2012.

No comments:
Post a Comment