Saturday, June 8, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE BORA - NUTRITION DAY CELEBRATIONS

Kongamano la watoto,siku ya lishe bora Tanzania.
(Forum children,  nutrition day Tanzania.)

Bunge la Watoto. (Lishe Bora)
The Children's Parliament. (Nutrition)

Tuesday, June 4, 2013

HAKI ZA WATOTO - CHILD RIGHTS


Mtoto huyu anahitaji Haki zake za Msingi.
(This child needs his Fundamental Rights.)
Pamoja na mazingira magunu ni haki ya mtoto kupata elimu.
(Despite the technical expression of environment is the right for a child to get an education.)

MSAADA KWA WATOTO WA MITAANI - Support for street children

Katibu wa Shirika akipokea mzigo wa Nguo za mitumba tayari kwa kutoa msaada kwa watoto wa Mitaani na Yatima Wilayani Kasulu.
(Secretary of the Corporation receives a load of secondhand clothes ready to provide assistance to street children and orphans Kasulu District)

Shirika likitoa msaada wa Sabuni kwa watoto wa Mitaani, Waishio katika mazingira magumu na Yatima Wilayani Kasulu.
(Organization of  Soap offered support for street children, people living in vulnerable and orphan Kasulu District.)

Shirika likitoa msaada wa Sabuni kwa watoto uliokabidhiwa na Katibu wa Shirika Regina Matalu.
(Organization of Soap offered support for the children entrusted to the Secretary of the Corporation Regina blocks.)


SEMINA YA VIONGOZI - LEADERS SEMINAR


Semina ya Viongozi wa CEF, Mgeni Rasmi alikuwa Afisa Tarafa Makere Mr. Wambura April 2013.
(CEF workshop leaders, Guest of Honour was Mr Wambura Divisional Officer of Makere April 2013.)

Viongozi wa Shirika baada ya Semina.
(Organization leaders after the seminar)

Afisa Tarafa Bw. Wambura akiendesha Semina ya Viongozi.
(Divisional Officer Mr. Wambura riding Leaders Seminar.)

Baadhi ya Viongozi wakiwa na watoto mbele ya Ofisi ya CEF.
(Some leaders with children in front of the Office of the CEF.)

Mwenyekiti wa CEF  akiwa Ofisini na baadhi ya Wageni waliomtembelea.
(Chairman of CEF as Office and some guests who visit.)

MSAADA KWA WALEMAVU WA VIUNGO - SUPPORT FOR DISABLED THE LINKS

Msaada wa Sabuni kwa mama Mlemavu wa Viungo.
(Soap support for mothers physical disabilities.)

Shirika likitoa Msaada kwa Walemavu wa Viungo.
(Organization offered support for physical disability.)
Mwenyekiti (CEF ) akitoa Msaada kwa Walemavu.
(Chairman (CEF) casting Assistance to Disabled.)

Monday, February 11, 2013

MWENYEKITI WA CEF AKITOA MSAADA WA CHAKULA KWA AKINA MAMA



Bibi hawa ni ombaomba wa mtaani.Miongoni mwao hawana ndugu kabisa na wanabaki wakiomba misaada kwa watu mbalimbali na wasamalia wema,Ukibahatika kuyaona mazingira yao wanayoishi kweli yanakufanya uwaonee huruma.
       USHAURI KWA SERIKALI;-'Ninaiomba serikali ya tanzania ifanye kila liwezekanalo ili kuondokana na tatizo hili la OMBAOMBA, KUMBUKA UZEE NI DHAHABU.

MWENYEKITI WA CEF AKIWAPA WATOTO MSAADA WA CHAKULA





Kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo watoto hawa yaliwasababisha kukimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta unafuu wa maisha yao.Licha ya kukimbilia mjini bado wamejikuta hawana uhakika wa kupata chakula na sehemu  ya kulala na baadala yake  wanalala nje hasa katika mitalo  ipitishayo maji .
     Mwenyekiti wa CEF aliwapatia msaada wachukula watoto hao kama unavyoona kwenye picha hizo hapo juu.
             USHAURI WA MWENYEKITI WA CEF KWA SERIKALI;-"Ninaishauli serikali ya Tanzania hasa WIZARA husika kulipatia nguvu na ushirikiano wa kutosha shirika la CEF ili kuwasaidia watoto hawa kuondokana na tatizo hili la ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI".

WATOTO WAKIWA NA MWENYEKITI WA CEF



Watoto hawa waliacha masomo wakakimbilia mjini kwa ajili ya kutafuta liziki baada ya maisha ya familia zao kuwa dunu sana /magumu .
Watoto hawa wanaishi hapa mjini kwa kuokota vitu jalalani/kwenye takataka kama vile makopo/chupa tupu za maji/kitu chochote kile wanachoweza kuuza na kujipatia pesa kwa ajiuli ya kununua chakula chao.
Wakiwa kazini utakutana nao wakiwa wamebebelea mifuko ndani yake kukiwa na chupa tupu kama wanavyoonekana kwenye picha hizo hapo juu na chupa moja utakuta wakiuuza shiling 20 za Kitanzania.

Tuesday, February 5, 2013

WAJUMBE WAKIWA KWENYE KIKAO CHA KUJADILI JINSI YA KUPATA WAFADHILI WA SHIRIKA (Whilst in Session MEMBERS DISCUSS HOW THE ORGANISATION funding)

Wajumbe wakiwa ndani ya mkutano.
Delegates inside the conference.
Wajumbe wakiwa nje kwa picha ya pamoja baada ya mkutano kumalizika.
Members being out for the picture with after the meeting ended.

WAJUMBE WA CEF BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA USAJILI WA SHIRIKA (MEMBERS OF CEF AFTER RECEIVING NOTICE OF REGISTRATION OF ORGANISATION)

Wajumbe wa Shirika la CEF wakifurahia siku ya kupata usajili wa shirika lao la CEF wakiwa na bango la shirika hilo.
Members of the Organization of CEF were enjoyed on the registration of their organization's CEF with the banner of the organization.

Tuesday, January 22, 2013

MALEZI BORA NDANI YA FAMILIA (GUARDIAN BEST IN THE FAMILY)

Mratibu wa shirika aliitembelea familia hii na kukutana na bibi huyu akiwa na wajukuu zake dhumuni likiwa ni  kuzungumzia malezi ndani ya familia.
Coordinator of this family visited and met this lady with her ​​grandchildren purpose being to discuss the formation within the family.

SEMINA YA VIONGOZI WA SHIRIKA LA CEF KUHUSU HAKI ZA WATOTO (SEMINAR LEADERS OF ORGANISATION OF THE RIGHTS OF CHILDREN CEF)

Mwenyekiti wa CEF akiwa na baadhi ya wajumbe wa shirika wakifuatilia kwa makini semina kuhusu haki za watoto iliyofanyika kijiji cha Makere wilayani Kasulu mwezi wa 4 mwaka 2012.
Chairman of CEF with some members of the organization were monitored carefully seminar on child rights held Kasulu district village of Makere April, 2012.

MWENYEKITI AKIWA ZIARANI SHULE YA MSINGI MUUNGANO (CHAIRMAN tour at MUUNGANO PRIMARY SCHOOL)

Mwenyekiti wa CEF akiwa na watoto wa shule ya msingi Muungano alipowatembelea shuleni hapo baada ya mazungumzo na mwalimu mkuu wa shule hiyo, Shule hii pia ina idadi kubwa ya wanafunzi ikiwa na wanafunzi 678 na walimu 11 tu takwimu zilizopatikana mwezi 8 mwaka 2012.
Chairman of CEF with children of primary school union he visits the school after a conversation with the head teacher of the school, the school also has a large number of students if students 678 teachers only 11 data obtained in August, 2012.

WATOTO WA SHULE YA MSINGI MAKERE (CHILDREN'S OF MAKERE PRIMARY SCHOOL )

Mwenyekiti wa CEF akiwa na mwalimu na wanafunzi wa shule ya msingi Makere alipofanya ziara shuleni hapo na kubaini idadi ya watoto wa shule hiyo haiendani na idadi ya walimu, Shule hiyo ina idadi ya wanafunzi 854 na walimu 11 tu ambayo ni idadi ndogo ikilinganishwa na idadi kubwa iliyopo ya wanafunzi takwimu zilipatikana mwezi 9 mwaka 2012
Shirika la CEF limegundua hapo hakuna elimu bora kwa wanafunzi.

Chairman of CEF with the teacher and students of Makere Primary School visited the school to determine the number of school children that is inconsistent with a number of teachers, the School has a number of students 854 teachers only 11 which is a small number compared to the large number existing students, this figures were obtained on September, 2012.
Watoto wa shule hiyo wakiwa michezoni bila kuwa na viwanja vya michezo.
So while school children are playing without a playground.

MZAZI ALIYEWANYANYASA WATOTO WAKE WA KIKE KWA KUWANYIMA HAKI YA ELIMU (PARENT Who Becomes harm TO FEMALE CHILDREN RIGHT TO EDUCATION FOR deprive)

Mwenyekiti wa CEF akiwa nyumbani na mzazi anaeitwa Nzilayang'ombe aliyewafanyia unyanyasaji watoto wake wa kike kwa kuwanyima haki ya elimu na kuchukua maali ya ng'ombe 14 ili amuozeshe binti yake.
Chairman of the CEF at home with parents who do one called Nzilayang'ombe abuse of female children by denying them the right to education and to take 14 cows for dowry to his daughter to get married.
Wajumbe kutoka shirika la CEF kulia na kushoto wenye tshirt nyekundu wakiwa na watoto wa Mzee Nzilayang'ombe nyumbani kwao ambapo walikuwa wanasoma kidato cha tatu, binti wa tatu kutoka kushoto aliachishwa shule na baba yake kwa dhumuni la kuozeshwa mara baada ya mzee kuchukua ng'ombe 14 kutoka kwa muoaji, shirika la CEF liliingilia kati na ng'ombe walirudishwa kwa muhusika ili binti aendelee na masomo.
Members from the organization of CEF right and left with a red t shirt with elder children Nzilayang'ombe home where they were studying in Form Three, third from left daughter was taken out of school by his father for the purpose of married immediately after taking old cow 14 from man who wanted to marry his daughter, CEF agency intervened between the cattle were returned to the character for a daughter to continue with their studies
Pichani ni watoto wengine wa mzee huyo ambao hawaendei na masomo ya shule ya msingi baada ya baba yao kuwatelekeza nyumbani wakiwa na wajumbe wa shirika la CEF,
Shirika linasimamia zoezi la mzee huyo kuhakikisha anawarudisha watoto shuleni ili waendelee na masomo.

Pictured are some of the elder children who do not endei the study of primary school after their father home neglect with CEF members of the organization,
The organization oversees the assignment of old child to ensure he brought them back to school to continue with their studies.

WATOTO HAWA WAMEKOSA HAKI YA ELIMU BAADA YA KUONDOKEWA NA WAZAZI (THESE CHILDREN MISSED EDUCATION RIGHTS AFTER LOST THEIR PARENTS)

Mtoto huyu miaka kumi (10)anaishi na baba yake baada ya mama yake kufariki wilayani Kasulu, Lakini baba amekuwa hamjali mtoto huyu na kumfanya awe mtoto anayeishi kwa kuomba omba mitaani, Pichani yupo na Katibu wa Shirika la CEF.
This child aged 10 years old lives with her ​​father after her mother died Kasulu district, but the father has the child that you care about and make him a child who lives in the streets begging, Pictured is the Secretary of the Organization of CEF.
Mtoto huyu James Juma akifanya biashara mtaani jambo lililosababisha kuto kuendelea na masoma akiwa darasa la nne baada ya kumpoteza mzazi wa kiume aliyekuwa tegemeo lake, biashara hiyo aliyokuwa akiifanya ilikuwa ni kazi ya kuajiliwa na malipo yakiwa na Tshs 4000/= elfu nne tu kwa mwezi.

This boy James Juma doing business on the street which led to inactivity continue reading at fourth grade after losing a parent of a male who makes his, a business that he had been made ​​it was the work of employed and payment having Tshs 4000 / = four thousand only per month

Mtoto huyu Alex Hamis wa kijiji cha kitanga akiwa anafanya biashara ya kuuza vitumbua baada ya kumpoteza baba yake, Mama wa mtoto huyu ni mlemavu  wa viungo jambo ambalo alishindwa kumuendeleza mtoto wake na masomo, mtoto huyu aliacha shule akiwa darasa la tatu mwana 2012.

This boy Alex Hamis the village of palm as he did the business of selling display after her father, the mother of this child have a disability of joints which failed kumuendeleza her studies, this child had left school at grade three son in 2012.

SHIRIKA LA CEF LILIVYO SHIRIKI SIKU YA WALEMAVU KIMKOA WILAYANI KASULU KABANGA TAREHE 15/12/2012 (CEF does CORPORATION SHARE DAY disability KASULU regional district Kabanga DATE 15/12/2012)


 Mwenyekiti wa Shirika la CEF akiwa na baadhi ya watoto walemavu wa ngozi kijiji cha kabanga.
Chairman of the Organization of CEF having some skin disabled children's village Kabanga
 Shirika la CEF liliposhiriki kikamilifu siku ya walemavu iliyofanyika wilayani Kasulu katika kijiji cha Kabanga.
CEF Agency took part actively on disability held Kasulu district in the village of Kabanga.
 Kwaya ya walemavu ikitoa burudani kwenye maadhimisho ya siku hiyo.
Choir entertaining releasing disabled in celebration of the day.
 Mwenyekiti wa shirika akiwa katika picha na baadhi ya watoto walemavu wa ngozi alipowatembelea.
Chairman of the organization at the pictures and some of the disabled children she visits the skin.
Mwenyekiti wa CEF akiwa na baadhi waandishi wa habari na walemavu wa ngozi baada ya mazungumzo alipowatembelea.
Chairman of CEF with some news reporters and disabled the skin after a conversation he visits.
Mwenyekiti wa shirika akiwa na viongozi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.
Chairman of the organization with leaders Kasulu district in Kigoma.